Hatimaye ile kesi iliyonguruma kwa zaidi ya mwaka mmoja iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa mtumishi wa Benki hiyo leo ilifikia kikomo chake. Jopo la mahakimu (majaji?) waliokuwa wakiiendesha kesi hiyo lilitoa hukumu leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi pale Kisutu. Jamaa amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela. Je unasemaje kuhusu hii hukumu? Ni sawa?
Tag Archives: kashfa
ile kesi ya BoT: Liyumba aenda jela masika mbili
Aliyosema Kikwete
Masuala ya walimu
Nyaraka, Ilani na miongozo (vilivyotolewa na viongozi wa dini)
Yaliyojiri kwenye kikao cha NEC-CCM, Dodoma
Ufisadi, rushwa na mafisadi
Kesi ya Zombe
Nimeomba pesa, nimeomba pesa, nimeomba pesa — ADB, Benki ya Dunia, Serikali ya Saudi Arabia, Serikali ya China
(alikuwa akirudia-rudia)
Miundombinu: Lindi, Mtwara, Kigoma, Kagera
Suala la Richmond *kampuni kanyaboya*. Kumbe hata yeye aliishutukia.
Uhuru wa vyombo vya habari
Masuala ya Muungano na Zanzibar
Falsafa ya maisha bora kwa kila mtanzania
Ambayo hakuyasema:
- Tatizo la mtikisiko wa uchumi duniani
- Ukame na njaa katika mikoa ya kaskazini
Observations:
Tido Mhando tunayemjua sio yule mwandishi wa habari machachari wa BBC aliyekuwa na maswali ya kichokozi. That tells you something: If you are not careful, you will be changed by the system instead of you changing it.

Access to clean water in rural areas of Tanzania is still a problem

