RSS Feed

Karibu

Jicho la Kiongozi. Hii blog niliianzisha kutokana na changamoto na mambo mbalimbali ninayokumbana nayo katika pilika-pilika zangu hapa Tanzania. Lengo hasa ni kuzileta kwako hizi changamoto za kimaendeleo na wewe utumie jicho la kiongozi kuzitazama. Pale unapojisikia kuchangia usisite. Bonyeza palipoandikwa No Comments Yet na uniachie mistari miwili mitatu ya mawazo. Pamoja na changamoto pia nitajitahidi kukuletea picha ambazo naamini zitakufurahisha. Na mambo mengine tu ya kawaida kama habari, vituko na vichekesho. Lakini kama nilivyotangulia kusema — hili ni jicho la Kiongozi. Tunaweza kuwasiliana kupitia: simbamdogo@gmail.com au +255783503789. Karibu

10 Responses »

  1. Hi mweme, congratulation for making this very important forum for us to share ideas and experience for the betterment of our country.

    Keep it up brother……

    Cheers
    Bosco

    Reply
  2. Kazi nzuri sana ila jitahidi ku-update news na picha upatapo nafasi manake site nyingi za kibongo huanza kwa kasi then after sometime unakuta blog/website haina update yoyote zaidi ya headline na picha uliyoiacha miezi mitatu iliyopita.

    Reply
    • Ninashukuru Tom,

      Nitajitahidi ku-update kila mara. Uliyosema ni kweli. Ninayo mifano hai. Ni taraja yangu kwamba nisije nikawa moja kati ya mifano ya jinsi hii.

      Ciao.

      Mwemezi.

      Reply
  3. Mwemezi, I am impressed about this!!!! BRILLIANT!!!

    Astrid

    Reply
  4. hongera bro, sukuma n onyesha hasa yale yanayowasumbua watanzania wa kawaida kila kukicha,ila chunga tu kuonyesha kwamba upo kwa maslahi binafsi ya kikundi flan cha wa2.

    Reply
    • Asante, Kisoka.

      Na hilo ni jambo la msingi kweli kweli. Kuandika kwa style ya uandishi ambayo haipendelei upande wowote ni ngumu. Mara nyingi nimejikuta nikiandika kwa ushabiki — na kupendelea mawazo fulani au upande fulani. Ila nimeanza, taratibu, kubadilika na kujaribu kuwa na mtazamo wa kati. Naomba mnisaidie tu na wakati mwingine mnivumilie. Ninazidi kujirekebisha.

      Shukrani!

      Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.