Huwa wanasema ukikosa shukrani huwezi kuwa na maendeleo. Nimekuwa kimya sana kwenye hii blog yetu ya viongozi. In short, tangu mwaka huu wa 2011 uanze sijaandika jambo hata moja. Sina cha kusingizia ila niseme tu nimekuwa mvivu. Lakini pia nimekuwa nikijaribu kutafakari mwelekeo mpya wa uandishi wangu.
Asante sana msomaji wangu kwa kuendelea kunivumilia na kuendelea kusoma posts za zamani. Naahidi kurudi kwa upya.
Heri ya Mwaka Mpya (si mpya tena). Barikiwa.
Kiongozi.


Poa tuendelee tu kupata majimambo zaidi, kwa upande wa uharibifu wa misitu uanasemaje kwani tuna data za uharibifu mwingi wa mazingira ni vipi mambo haya yatawekwa wazi ili hali viongozi ni wahusika wakuu!!!!!!!!!!!!!!!!