RSS Feed

Mambo mengine si kwa sababu ya umaskini

Posted on

Watanzania wengi tumekuwa tukitafuta ulaji badala ya kutafuta kutoa mchango kwa maendeleo ya nchi yetu. Utamkuta mtu anakuuliza: “Siku hizi uko wapi?” Unamwambia: “Ninafanya kazi BOT.” Au: “Nipo mamlaka ya mapato Tanzania.” Au wakati mwingine unamweleza: “Ninafanya kazi na ubalozi wa Finland.” Atakachokujibu sasa utashangaa. Mara zote nimekuwa nikisikia watu wakiniambia: “Aisee, huko ndo kwenye pesa. Mambo yako safi sana mzee.” Ukijaribu kuwahoji wanachomaanisha si pesa halali ya mshahara. Bali ni zile pesa waweza kuzipata kama wewe ni mtu wa dili.

Mawazo haya ya dili yatatufikisha wapi?

About Mwemezi

I am Tanzanian. I live and work in Tanzania. I work as a researcher in Environment, Sustainability and Development. I speak Swahili and a little bit of English ;) Welcome and have fun.

One Response »

  1. Ni kawaida kwa binadamu kusahili maisha ili hatimaye aweze kuyaboresha.Hata hivyo, ni vibaya sana kulalama tu bila kuwa na wazo mbadala! akili inayolalama si akili nzuri sana! big up!

    Reply

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.