RSS Feed

2010 at a glance

Posted on

Mzee wa Kichagga anarudi CCM?

Magazeti ya hapa Bongo yamekuwa yakiandika habari kuhusu Mhishimiwa mzee wa “Inji Hii”. Mzee yule tuliyesukuma gari lake sana alipokuja Arusha mwaka 1995 ameanza kuwakashfu viongozi wenzake wa vyama vya upinzania na kumtetea JK kwa nguvu zote. Haikuchukui akili za professor kujua kwamba anakoelekea ni kule kule — “baada ya kushauriana na wazee nimeamua kurudi CCM.” Kwa sababu ameshatangaza kwamba hataki tena kugombea Urais 2010 na kutamka hadharani kwamba yeye angependa kugombea ubunge kule Vunjo, ni wazi kwamba anaweza kutimiza malengo yake hayo kwa kugombea kwa tiketi ya CCM.

About Mwemezi

I am Tanzanian. I live and work in Tanzania. I work as a researcher in Environment, Sustainability and Development. I speak Swahili and a little bit of English ;) Welcome and have fun.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Follow

Get every new post delivered to your Inbox.